Kwa mujibu wa shirika la habari la IRNA, Kim ameyasema hayo alipobainisha misimamo yake kuhusu matukio ya hivi karibuni katika Mashariki ya Kati na kusisitiza kwamba Vita vya Tatu vya Dunia vinakaribia kutokea. Akizungumzia mashambulizi ya Israel dhidi ya Gaza, Kiongozi wa Korea Kaskazini amesema, "mapigano katika Mashariki ya Kati yataishia kwenye Vita vya Tatu vya Dunia, na vita hivi vinakaribia kuanza. Inapasa kila mtu ajiweke tayari."Katika sehemu nyingine ya hotuba yake, Kim Jong Un ameeleza kwamba, mapigano hayo yatasababisha uhasama ambao unaweza kuenea katika maeneo mengine ya dunia.
342/